Hatma ya Seleman Matola Stars

Seleman Matola(Kushoto) akiwa na aliyekuwa kocha mkuu wa Simba, Sven Vandenbrock enzi wakifanya kazi pamoja.

Mratibu wa Klabu ya soka ya Simba, Abbas Ally amesema hatma ya kocha wao Seleman Matola juu ya iwapo atasalia nchini au atajiunga na timu ya Taifa ya Tanzania''Taifa Stars'' huko nchini Cameroon ipo mikononi mwa waajili wake na Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS