Taarifa kuhusu Erasto Nyoni kutosafiri na Stars

Mchezaji kiraka wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akiwa katika majukumu ya kitaifa.

Mchezaji kiraka wa klabu ya Simba, Erasto Nyoni anatarajiwa kuungana na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ''Taifa Stars'' mwishoni mwa wiki hii nchini Cameroon kwa ajili ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS