Sababu Jeshi la Zimamoto kuchelewa kwenye matukio Kamishna Jenerali wa Zimamoto na Uokoaji, John Masunga Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limeagizwa kujali maslahi ya wafanyakazi wake huku pia wakisisitizwa kuwahi katika eneo la moto pindi moto unapozuka. Read more about Sababu Jeshi la Zimamoto kuchelewa kwenye matukio