Ijue sababu ya wanaume kunyong'onyea Mjumbe wa nyadhifa, Paul Mashauri Mjumbe wa nyadhifa, Paul Mashauri, amesema kuwa hakuna kitu kinachomnyima raha mwanaume kama kukosa pesa, kwani hata ikitokea karudi nyumbani na kuambiwa hakuna kitu fulani huwa ananyong'onyea kabisa. Read more about Ijue sababu ya wanaume kunyong'onyea