JPM amthibitishia Waziri ambaye hakuvaa barakoa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli, amempongeza Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, kwa kutambua kwamba Tanzania haina Corona na ndiyo maana hakuvaa barakoa, ambapo alimshika mkono na kwenda kula wote chakula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS