DC amuweka ndani meneja Kampuni ya kigogo CCM
Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu, Festo Kiswaga, amemkamata na kumuweka ndani Meneja wa Kampuni ya Madini ya EMJ, inayomilikiwa na kiongozi wa CCM, kwa madai ya kukwepa kulipa kodi za Serikali, katika Mgodi wa Dutwa wilayani humo.