Milioni 350 kutoka China zatua Chato

Waziri wa Mambo ya Nje ya China Wang Yi

Waziri wa Mambo ya Nje ya China, Wang Yi ametoa hundi ya shilingi milioni 350  kwa Chuo cha Veta  wilaya ya Chato, ili kuhakikisha  wanafunzi watakaosoma wanapata ujuzi wa  kutosha juu ya fani ya uvuvi wa samaki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS