Sven ndio basi tena, rekodi zake kiboko

Kocha Sven Vandenbroeck (pichani) enzi zake akiwa katika majukumu yake ya kukinoa kikosi cha Simba.

Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu Sven Vandebroeck kwa makubaliano ya pande mbili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS