Harmonize ampa shavu Abella ngoma mpya 2021
Msanii wa Bongofleva ambaye hivi sasa anatamba na ngoma yake ya Wapo, Harmonize, amerejea nchini leo Januari 3, 2021 akitokea Ghana na moja kwa moja akaahidi kuwa usiku wa leo atarekodi ngoma yake ya kwanza mwaka huu akimshirikisha mwimbaji Abella.