Naibu Waziri ataka Meneja RUWASA kusimamishwa kazi
Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Clement Kivegalo kumuondoa Meneja wa Wilaya ya Mbarali (RUWASA), Job Mwakasala pamoja n akufanya mabadiliko ya wataalamu katika wilaya hiyo.