Kocha wa Barcelona aumizwa kichwa na usajili
Kocha wa FC Barcelona Ronald Koeman ameweka wazi kuwa anahitaji kusajili mshambuliaji kwenye dirisha dogo la mwezi Januari, baada ya kikosi cha kuibuka na ushindi wa bao 1 - 0, dhidi ya Huesca kwenye mchezo wa ligi licha ya timu hiyo kupiga mashuti 11 yaliyolenga lango.