Tunaianza 2021 kwa big match Jiji la London
EPL inaendelea kutoa burudani kwa mashabiki wa soka duniani. Licha ya 2020 kuwa ni mwaka uliokumbwa na majanga yaliyoathiri michezo na sekta zingine, bado tunakila sababu ya kuendelea kufurahia michezo mbalimbali inayoendelea hivi sasa.