Jacqueline Wolper atangaza mastaa 10 anaowadai
Ni 'headlines' za msanii wa filamu na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ambaye kupitia post zake mbili za mwisho kwenye mtandao wa Instagram ametangaza kuwataja mastaa 10 ambao anawadai na wamegoma kumlipa pesa zake.