Yanga SC yabanwa, Azam FC yafunga mwaka kwa raha Wachezaji wa Yanga SC wakishangilia goli Klabu ya soka ya Yanga SC imemaliza mwaka 2020 ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu soka Tanzania, ikiwa na pointi 44, baada ya kutoka sare ya 1-1 na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa raundi ya 18. Read more about Yanga SC yabanwa, Azam FC yafunga mwaka kwa raha