Manchester United na rekodi mbaya Old Trafford
Mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu nchini England, klabu ya Manchester United imeshindwa kukwea kileleni kwenye msimamo wa ligi kuu nchini humo baada ya kipigo cha mabao 2-1 usiku wa kuamkia leo tarehe 28 Januari 2021 kutoka kwa klabu ya Sheffield United inayoshika mkia.