Manara awataka Simba SC wasichukulie poa

Kikosi cha Simba SC kwenye picha kubwa na picha ndogo ni Haji Manara

Kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Tanzania (ASFC), kati ya Simba SC dhidi ya Majimaji FC leo, Afisa Habari wa Simba SC Haji Manara, amewataka wachezaji wasichukulie poa mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS