Agizo la Waziri Gekul kwa wafugaji

Wa pili kushoto Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Pauline Gekul, wa kwanza kulia Katibu mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi anayeshughulikia Mifugo wakiwa katika ziara katika kiwanda cha Eliya food Overseas Ltd.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Pauline Gekul amewataka wafugaji kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanauza mifugo yao katika viwanda vya ndani ili viwanda visikose malighafi na taifa liweze kunufaika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS