Matukio 6 yaliyotikisa zaidi kwenye burudani 2020 

Mwaka 2020 ni mwaka ambao umekuwa na mambo mengi ambayo yametikisa hapa nchini, yapo yaliyohuzunisha kufurahisha na kuchekesha, sasa EATV & EA Radio Digital inakuletea 'round up' ya matukio 6 ya stori zote kali za kiburudani ambazo zime-trend mwaka 2020.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS