Wadau wa Mazingira wataja athari za taka ufukweni
Wadau Mbalimbali kwa kushirikiana na Mwenyekiti wa mtaa wa Mbezi beach B Asha Voniatis, wamejitokeza kufanya usafi pembezoni mwa fukwe lengo ikiwa ni kuhamasisha utunzaji wa mazingira na kulinda viumbe vilivyopo katika fukwe.