Barnaba Classic afunguka kutomsaidia baba yake Msanii Barnaba Classic Msanii Barnaba Classic amenyoosha maelezo kufuatia video clip inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha baba yake mzazi akilalamika kwamba anapata shida na hapati msaada kutoka kwa mwanaye. Read more about Barnaba Classic afunguka kutomsaidia baba yake