Makamu wa Rais wa Geita Gold Mining (GGM), Simon Shayo
Makamu wa Rais wa Geita Gold Mining (GGM), Simon Shayo na Meneja Mahusiano Stephen Mhando, leo Novemba 25, 2020, wametembelea Ofisi za East Africa Television na East Africa Radio na vyombo vya IPP kwa ujumla.