Dk Akwilapo atoa neno kwa watumishi wanaostaafu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk Leonard Akwilapo amewataka watumishi wanaokaribia kustaafu kutunza kumbukumbu zao ilikuepuka kupata shida yakulipwa mafao yao huku akiahidi kuhakikisha michango ya watumishi waliopo chini ya wizara hiyo inawasilishwa kwa wakati.