Fahamu chanzo cha kifo cha Muigizaji na MC Zipompa
Picha ya MC Zipompa enzi za uhai wake
Muigizaji na Mshehereshaji Gladys Lawrance Chiduo maarufu kama MC Zipompa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 10, katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Tegeta Jijini Dar Es Salaam.