Kauli ya kocha Ndairagije juu ya mrithi wa Samatta
Kocha wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndairagije ametanabaisha kwamba kambi ya nchini Uturuki ilikuwa ya mafanikio na matayarisho kwa ujumla kuelekea mchezo wao wa Novemba 13 dhidi ya Tunisia yamekamilika.