Alichosema Nuh Mziwanda kuhusu watoto wa mjini Msanii wa BongoFleva Nuh Mziwanda Najua umeshakutana na neno linaloitwa watoto wa mjini, sasa kupitia EATV & EA Radio Digital, huyu hapa ni msanii wa BongoFleva Nuh Mziwanda ametoa maelezo kuhusu maana halisi ya neno hilo na sifa zake. Read more about Alichosema Nuh Mziwanda kuhusu watoto wa mjini