"Mh. Rais Magufuli unanipa mshtuko"- Prof. Kabudi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuwa hii ni mara ya nne anapewa mshtuko na Rais Magufuli kwani amekuwa akimpa nafasi za kuongoza bila yeye kutarajia.