Zifahamu Sura mbili za Sergio Ramos
Beki wa kati wa Real Madrid Sergio Ramos jana alifunga goli lake la 100 katika mchezo wa mabingwa barani Ulaya, tangu alivyoanza kuichezea klabu hiyo mwaka 2005, beki huyu ana sura mbili tofauti, moja ikimtambulisha kama mchezaji ''mkorofi'' lakini pia kama mchezaji mwenye kipaji kikubwa