Aliyezichapa na Gigy afunguka kuhusu ugomvi wao
Msanii Zee Cuty amefunguka chanzo cha kupigana na msanii Gigy Money kwenye moja ya tukio lililofanyika siku kadhaa zilizopita ambapo amesema alikuwa yupo timamu kiakili na ugomvi huo ulitokea kwa bahati mbaya.