Mahakama yaeleza upelelezi kesi aliyekuwa bosi MSD
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam,imesema kuwa upelelezi katika Kesi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu na Kaimu Mkurugenzi wa Lojistiki, Byekwaso Tabura, bado haujakamilika.