Dkt.Mwinyi ameapishwa kuwa Rais wa Zanzibar
Dkt Hussein Mwinyi ameapishwa hii leo na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu katika uwanja wa Amani huko Zanzibar,katika hafla iliyohudhuriwa na marais wastaafu,viongozi wa kitaifa na kimataifa pamoja na wananchi.