Marekani kukamilisha Kampeni leo
Wagombea urais wa Marekani, Donald Trump na mshindani wake Joe Biden, wanamalizia kampeni zao kwenye majimbo muhimu nchini humo ambapo inaonyesha jinsi gani Marekani ilivyogawanyika kwa kiwango kikubwa katika kuyashughulikia matatizo makubwa ya nchi.