Kiungo matata wa Yanga, Haruna Niyonzima(Wa mbele kabisa pichani) alipokuwa mazoezini katika kikosi cha msimu uliopita.
Klabu ya Yanga huwenda ikamkosa kiungo wake Haruna Niyonzima katika mchezo wao ujao wa ligi kuu dhidi ya Biashara Mara United kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa Malaria.