Katibu Mkuu: Mkopo wa fedha za COVID usipotoshwe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James leo tarehe 22 Oktoba akiwa katika uzinduzi wa miradi ya ukarabati na utengenezaji wa viwanja vinne vya ndege vya Kigoma, Sumbawanga (Rukwa), Tabora na Shinyanga , baada ya kuhitimisha hotuba yake rasmi juu ya uzinduzi huo, aligusia suala