"Nawashangaa wanaosema Gambo simpendi "- Magufuli

Kushoto ni mgombea urais kupitia CCM Dkt John Magufuli na kulia ni mgombea ubunge wa jimbo la Arusha mjini Mrisho Gambo.

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. John Magufuli, amesema kuwa anawashangaa watu wanaopanda majukwaani na kusema kuwa yeye hampendi aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, na ndiyo maana alimfukuza kazi hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS