Polisi waonya watakaofanya vurugu Oktoba 28
Jeshi la Polisi Kinondoni limesema siku chache zilizosalia kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28 halitomvumilia mtu yeyote mwenye nia ovu aliyejipanga kufanya vurugu ama kupanga viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani na kueleza kwambwa katika kipindi cha mwezi mmoja tayari Jeshi hilo-