Konde Gang walivyojimaliza kwenye Ushamba Party
Ni 'updates' za wasanii kutoka lebo ya Konde Gang Music chini ya msanii Harmonize ambapo usiku wa kuamkia leo walifanya sherehe fupi waliyoipa jina la 'ushamba party' ambayo ilifanyika kwenye makao makuu ya lebo hiyo.

