Enzo Maresca alalamika Betis kupendelewa
Kocha wa Chelsea Enzo Maresca amesema hafurahishwi na kitendo cha wapinzani wao Real Betis kupewa siku mbili za ziada kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa fainali wa Uefa Conference League utakaopigwa Mei 28 2025