Utajiri wa bosi wa Man United watajwa kuporomoka
Mmiliki mwenza wa Manchester United Sir Jim Ratcliffe ameshuhudia utajiri wake ukishuka kwa £6.473bn ikiwa ni zaidi ya robo ya utajiri wake katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita kwa mujibu wa orodha ya hivi punde iliyotolewa na Sunday Times.