Man City wajiondoa kwa Florian Wirtz
Man City wamejiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili nyota wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz anayetajwa kuwa na thamani ya pauni milioni 126 na kuziacha Liverpool na Bayern Munich zikipigania kumnasa nyota wa Ujerumani.