Waliokosa nafasi za masomo wakumbukwa Arusha
Kutokana na changamoto iliyojitokeza mwaka jana ya maelfu ya wanafunzi waliohitimu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kukosa nafasi, kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa katika Shule mbalimbali mkoa wa Arusha umeanza kuchukua tahadhari.