Vifahamu vifaa 6 vinavyodaiwa kusaini Yanga Lamine Moro Baada ya msimu wa ligi kuu soka Tanzania bara 2018/19 kumalizika, klabu mbalimbali zimeanza kusajili kwaajili ya msimu ujao wa 2019/20 huku Yanga wakiwa vinara katika mbio hizo za usajili. Read more about Vifahamu vifaa 6 vinavyodaiwa kusaini Yanga