Mama mzazi wa Isha Mashauzi kuzikwa leo

Bi Rukia Juma.

Mmiliki na mwanamuziki wa kundi la Mashauzi Classic, Aisha Ramadhani maarufu ‘Isha Mashauzi’ amepata pigo baada ya kumpoteza mama yake mzazi, Bi Rukia Juma aliyefariki dunia jana Mei 29, 2019, ambapo anatarajia kuzikwa leo katika makaburi ya Mbezi kwa Msuguri. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS