Laki moja hufariki kisa mifuko ya plastiki
Mwanasheria wa Baraza la Mazingira la Taifa la NEMC, Machare Heche amebainisha uwepo wa mifuko ya plastiki inayosababisha vifo vya zaidi ya viumbe hai laki moja vilivyopo baharini kutokana na mifuko hiyo kuchukua muda mrefu kuharibika.