Serikali yaeleza sababu ya kushuka kwa ufaulu Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema miongoni mwa sababu zinazopelekea ufaulu wa wanafunzi wa darasa la saba kushuka, ni upingufu wa walimu kwenye baadhi ya shule za msingi hapa nchini. Read more about Serikali yaeleza sababu ya kushuka kwa ufaulu