Zahera aweka wazi kuhusu yeye na Makambo kuondoka Mwinyi Zahera na Heritier Makambo Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera, amesema kuwa Yanga itaendelea kuwa bora hata kama mshambuliaji Heritier Makambo ataondoka klabuni hapo. Read more about Zahera aweka wazi kuhusu yeye na Makambo kuondoka