Mbunge aliyemgomea Spika aendeleza msimamo wake
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele ambaye pia ni Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) ameendelea kushikilia msimamo wake dhidi ya Rais wa Bunge la Afrika, Roger Nkodo Dang licha ya yeye mwenyewe kuitwa na Spika na Bunge Job Ndugai kwa ajili ya kuhojiwa na kamati.