Rais Magufuli awatumbua wakurugenzi wawili Rais John Magufuli Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri mbili, ambazo ni Mbozi mkoani Songwe pamoja na Uyui mkoani Tabora kuanzia leo Mei 16, 2019. Read more about Rais Magufuli awatumbua wakurugenzi wawili