Hamisa Mobetto aamua kuziba masikio

Hamisa Mobetto.

Mwanamitindo maarufu nchini ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Hamisa Mobeto amesema siri kubwa iliyomfanya aweze kupiga hatua maishani ni kuziba masikio na kujifanya kama hasikii yanayosemwa kuhusu yeye.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS