''Hata Simba na Yanga haziwaamini'' - Wallace
Rais wa shirikisho la soka nchini (TFF), Wallace Karia amesema kocha wa timu ya taifa ya Tanzanzia Taifa Stars Emmanuel Amunike hastahili lawama kwa kupoteza dhidi ya Lesotho kisa kikosi alichopanga wakati wachezaji wote ni Watanzania.