CCM yawaonya walioteuliwa na Rais Magufuli
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt Bashiru Ally amewakemea baadhi ya viongozi walioteuliwa na Rais Magufuli, kuacha kufanya kampeni kwa ajili ya kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.